Kikaburi ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakaburi. Mwaka wa 1986 idadi ya wasemaji wa Kikaburi imehesabiwa kuwa watu 600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaburi iko katika kundi la “South Bird's Head”.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikaburi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.