Kikabwa ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakabwa. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kikabwa imehesabiwa kuwa watu 14,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikabwa iko katika kundi la E40.

Viungo vya nje hariri

Marejeo hariri

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikabwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.