Kikadazan cha Labuk-Kinabatangan

Kikadazan ya Labuk-Kinabatangan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wakadazan. Lahaja zake ni pamoja na Kilabuk na Kisungai. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikadazan ya Labuk-Kinabatangan imehesabiwa kuwa watu 20,600. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikadazan ya Labuk-Kinabatangan iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikadazan cha Labuk-Kinabatangan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.