Kikaidipang ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakaidipang na Wabolaang-Itang kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikaidipang imehesabiwa kuwa watu 26,600, yaani Wakaidipang 8900 na Wabolaang-Itang 17,700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaidipang iko katika kundi la Kifilipino.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikaidipang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.