Kikaiku
Kikaikiu ni lugha ya kibantu nchini yamhuri ya kidemocrasia ya Kongo
Kikaiku ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wakaiku. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kikaiku imehesabiwa kuwa watu 13,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikaiku iko katika kundi la D30.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikaiku kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikaiku Ilihifadhiwa 5 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikaiku katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kkq
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikaiku kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |