Kikaiy ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakaiy. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikaiy imehesabiwa kuwa watu 220. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikaiy iko katika kundi la “Lakes Plain”.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikaiy kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.