Kikajaman
Kikajaman ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wakajaman. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kikajaman imehesabiwa kuwa watu 500 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikajaman iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikajaman kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikajaman Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikajaman katika Glottolog
- lugha ya Kikajaman kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikajaman kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |