Kikakabe ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Guinea inayozungumzwa na Wakakabe. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kikakabe imehesabiwa kuwa watu 4100. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikakabe iko katika kundi la Kimande.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikakabe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.