Kikalanadi ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakalanadi. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kikalanadi imehesabiwa kuwa watu 750. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikalanadi iko katika kundi la Kidravidi-Kusini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikalanadi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.