Kikalao
Kikalao (pia Kilambego) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakalao kwenye visiwa vya Kalao na Selayar. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kikalao imehesabiwa kuwa watu 500 tu. Kwa vile Wakalao wengi wameacha lugha yao, Kikalao iko hatarini kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikalao iko katika kundi la Kicelebiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikalao kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikalao Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikalao katika Glottolog
- lugha ya Kikalao kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikalao kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |