Kikalarko
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka
Kikalarko (au Kigalaagu) kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wakalarko katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kikalarko ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikalarko kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikalarko kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikalarko Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikalarko katika Glottolog
- lugha ya Kikalarko katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikalarko kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |