Kikami (Nigeria)
Kikami ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wakami. Isichanganywe na lugha ya Kikami nchini Tanzania. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kikami imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikami iko katika kundi la Kinupoidi linalofanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikami kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikami Ilihifadhiwa 6 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikami katika Glottolog Ilihifadhiwa 4 Machi 2016 kwenye Wayback Machine.
- http://www.ethnologue.com/language/kmi
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikami (Nigeria) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |