Kikami ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakami. Isichanganywe na lugha ya Kikami nchini Nigeria. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikami imehesabiwa kuwa watu 16,400. Kufuatana na uainishaji wa [[lugha] za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikami iko katika kundi la G30.

Viungo vya nje hariri

Marejeo hariri

  • Maho, Jouni na Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Uk ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Seidel, Agosti. 1896. Beiträge zur Kenntnis des Ki-Kami in Deutsch-Ostafrika. Zeitschrift für afrikanische und oceanische Sprachen, 2, uk 3–32.
  • Velten, Carl. 1900. Kikami, die Sprache der Wakami in Deutsch-Ostafrika. Mitteilungen des Seminars für orientalische Sprachen, 3 (III. Abt.), uk 1–56.
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikami (Tanzania) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.