Kikamoro ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakamoro. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kikamoro imehesabiwa kuwa watu 8000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikamoro iko katika kundi la Kiasmat-Kamoro.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikamoro kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.