Kikamu
lugha ya asili ya Australia iliyotoweka
Kikamu kilikuwa lugha ya Kidaly nchini Australia iliyozungumzwa na Wakamu katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kikamu, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikamu kiko katika kundi la Kimalagmalag.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikamu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikamu Archived 13 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikamu katika Glottolog
- lugha ya Kikamu katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikamu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |