Kikanashi ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakanashi. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kikanashi imehesabiwa kuwa watu 1400. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikanashi iko katika kundi la Kibodish.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikanashi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.