Kikandas ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wakandas. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikandas imehesabiwa kuwa watu 300. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikandas iko katika kundi la Kioseaniki.

Yoh 3:16 kwa lugha hiyo hariri

O God i maris a rakrakon bual, ra i pitar tar o Nutunu ara sot kut, sur osi ra in nurnur uni, in laun tukum ma ken iru.[1]

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikandas kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.