Kikanembu
Kikanembu ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad inayozungumzwa na Wakanembu. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kikanembu imehesabiwa kuwa watu 461,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikanembu iko katika kundi la Kisahara-Magharibi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikanembu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikanembu Archived 30 Oktoba 2014 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikanembu katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kbl
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikanembu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |