Kikango-Batchua ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wakango-Batchua. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kikango-Batchua imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikango-Batchua iko katika kundi la D30.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikango-Batchua kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.