Kikango-Batchua
(Elekezwa kutoka Kikango-Batchua (lugha))
Kikango-Batchua ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wakango-Batchua. Mwaka wa 1998 idadi ya wasemaji wa Kikango-Batchua imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikango-Batchua iko katika kundi la D30.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikango-Batchua kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikango-Batchua Archived 4 Februari 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikango-Batchua katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kzy
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikango-Batchua kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |