Kikango-Uele ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wakango-Uele. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kikango-Uele imehesabiwa kuwa watu 5900. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikango-Uele iko katika kundi la C50.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikango-Uele kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.