Kikantosi
Kikantosi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana inayozungumzwa na Wakantosi. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kikantosi imehesabiwa kuwa watu 2300. Pia kuna wasemaji wachache nchini Burkina Faso. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikantosi iko katika kundi la Kigur.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikantosi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikantosi Archived 30 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikantosi katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/xkt
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikantosi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |