Kikanum cha Bädi
Kikanum ya Bädi ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakanum. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kikanum ya Bädi imehesabiwa kuwa watu kumi tu, yaani inewezekana imeshatoweka kabisa hadi sasa. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikanum ya Bädi iko katika kundi la Kipapua ya Kusini-Kati.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikanum ya Bädi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikanum ya Bädi Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikanum ya Bädi katika Glottolog
- lugha ya Kikanum ya Bädi kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikanum cha Bädi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |