Kikara (Afrika ya Kati)

Kikara ni lugha nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wakara. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kikara imehesabiwa kuwa watu 4800. Haijulikani lugha ya Kikara iko katika familia au kundi gani la lugha kihistoria. Hata hivyo, wataalamu wengine huiweka katika kundi la Kibongo-Bagirmi la lugha za Kinilo-Sahara.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikara (Afrika ya Kati) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.