Kikaraboro-Magharibi
Lugha
Kikaraboro-Magharibi (au Kisyer-Tenyer) ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso inayozungumzwa na Wakaraboro. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kikaraboro-Magharibi imehesabiwa kuwa watu 30,200. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaraboro-Magharibi iko katika kundi la Kigur.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikaraboro kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikaraboro Archived 5 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikaraboro katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kza
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikaraboro-Magharibi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |