Kikaras ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakaras. Mwaka wa 1983 idadi ya wasemaji wa Kikaras imehesabiwa kuwa watu 240, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaras iko katika kundi la Kibomberai-Magharibi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikaras kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.