Kikareli ni lugha ya Kifini-Kiugori nchini Urusi na Ufini inayozungumzwa na Wakareli. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kikareli nchini Urusi imehesabiwa kuwa watu 25,600. Pia kuna wasemaji 10,000 nchini Ufini (1994). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikareli iko katika kundi la Kifini.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikareli kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.