Lugha za Kifini-Kiugori

Maeneo ya lugha za Kifini-Kiugori

Lugha za Kifini-Kiugori ni familia ya lugha ambazo huzungumzwa barani Ulaya hasa upande wa Kaskazini-Mashariki. Lugha zizungumzwazo kama lugha rasmi nchini mwake ni Kifini, Kihungaria na Kiestonia. Lugha za Kifini-Kiugori ni tawi moja la lugha za Kiurali pamoja na lugha za Kisamoyedi.

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kifini-Kiugori kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.