Kikasem ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Ghana na Burkina Faso inayozungumzwa na Wakasem. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kikasem nchini Ghana imehesabiwa kuwa watu 130,000. Pia kuna wasemaji 120,000 nchini Burkina Faso. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikasem iko katika kundi la Kigur.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikasem kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.