Kikatso ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uchina inayozungumzwa na Wamongol.

Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikatso imehesabiwa kuwa watu 4000.

Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikatso iko katika kundi la Kingwi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikatso kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.