Kikawe ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakawe kwenye kisiwa cha Waigeo na vinginevyo. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikawe imehesabiwa kuwa watu 600 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikawe iko katika kundi la Kiraja-Ampat.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikawe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.