Kikayagar ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakayagar. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kikayagar imehesabiwa kuwa watu 10,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikayagar iko katika kundi lake lenyewe la Kikayagar.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikayagar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.