Kikayan cha Busang
(Elekezwa kutoka Kikayan ya Busang)
Kikayan ya Busang (pia Kibusang) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakayan kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kikayan ya Busang imehesabiwa kuwa watu 3000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikayan ya Busang iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikayan ya Busang kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikayan ya Busang Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikayan ya Busang katika Glottolog
- lugha ya Kikayan ya Busang kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikayan cha Busang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |