Kikazukuru ilikuwa lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon iliyozungumzwa na Wakazukuru kwenye kisiwa cha Makira. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kikazukuru, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikazukuru iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikazukuru kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.