Kikedang
Kikedang ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakedang kwenye kisiwa cha Lembata. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kikedang imehesabiwa kuwa watu 30,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikedang iko katika kundi la Kibima-Lembata.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikedang kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikedang Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikedang katika Glottolog
- lugha ya Kikedang kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikedang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |