Kikei
Kikei (pia Kisaumlaki) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakei kwenye visiwa vya Kei, Kecil, Besar na vinginevyo. Pia Wakei wengine wamehamia visiwa vya Kur. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikei imehesabiwa kuwa watu 85,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikei iko katika kundi la Kimaluku.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikei kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikei Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikei katika Glottolog
- lugha ya Kikei kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikei kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |