Kikela
Kikela ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wakela. Mwaka wa 1972 idadi ya wasemaji wa Kikela imehesabiwa kuwa watu 180,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikela iko katika kundi la C80.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikela kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikela Ilihifadhiwa 5 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikela katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kel
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikela kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |