Kikendem ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wakendem. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikendem imehesabiwa kuwa watu 15000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikendem iko katika kundi la Kimamfe ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikendem kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.