Kikenga
Kikenga ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad inayozungumzwa na Wakenga. Mwaka wa 1997 idadi ya wasemaji wa Kikenga imehesabiwa kuwa watu 40,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikenga iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikenga kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikenga Ilihifadhiwa 22 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikenga katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kyq
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikenga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |