Kikeninjal
Kikeninjal ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakeninjal kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kikeninjal imehesabiwa kuwa watu 32,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikeninjal iko katika kundi la Kimalayiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikeninjal kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikeninjal Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikeninjal katika Glottolog
- lugha ya Kikeninjal kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikeninjal kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |