Kikenyang ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wakenyang. Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji wa Kikenyang imehesabiwa kuwa watu 65,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikenyang iko katika kundi la Kimamfe ambalo linafanana na lugha za Kibantu.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikenyang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.