Kikerinci ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakerinci kwenye kisiwa cha Sumatra. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikerinci nchini Indonesia imehesabiwa kuwa watu 260,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikerinci iko katika kundi la Kimalayiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikerinci kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.