Kikete
Kikete ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wakete. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kikete imehesabiwa kuwa watu 8400. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikete iko katika kundi la L20.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikete kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikete Ilihifadhiwa 5 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikete katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kcv
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikete kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |