Kikhün ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Myanmar, Laos na Uthai inayozungumzwa na Wakhün. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kikhün nchini Myanmar imehesabiwa kuwa watu 100,000. Pia kuna wasemaji 600 nchini Laos (2003) na 6280 nchini Uthai (2000). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikhün iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikhün kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.