Kikhamti ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Myanmar na Uhindi inayozungumzwa na Wakhamti. Mwaka wa 2000, idadi ya wasemaji wa Kikhamti nchini Myanmar imehesabiwa kuwa watu 8000. Pia kuna wasemaji 5000 nchini Uhindi (2007) Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikhamti iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikhamti kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.