Kikhetrani
Kikhetrani ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Wakhetrani. Idadi ya wasemaji wa Kikhetrani imehesabiwa kuwa watu 4000 (mwaka wa uhesabu haujulikani). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikhetrani iko katika kundi la Kiaryan.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikhetrani kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikhetrani Archived 15 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikhetrani katika Glottolog
- lugha ya Kikhetrani kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikhetrani kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |