Kikim
Kikim ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Chad inayozungumzwa na Wakim. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kikim imehesabiwa kuwa watu 15,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikim iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikim kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikim Ilihifadhiwa 23 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikim katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kia
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikim kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |