Kikinnauri ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wakinnauri. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kikinnauri imehesabiwa kuwa watu 65,100. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kikinnauri iko katika kundi la Kibodish.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikinnauri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.