Kikitja
lugha ya asili ya Australia
Kikitja (au Kikija) ni lugha ya Kijarrakan nchini Australia inayozungumzwa na Wakitja katika jimbo la Australia Magharibi. Katika sensa ya mwaka 2006, kulikuwa na wasemaji wa Kikitja 210, na lugha imo hatarini mwa kutoweka.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikitja kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikitja Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kikitja katika Glottolog
- lugha ya Kikitja katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikitja kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |