Lugha za Kijarrakan
familia ndogo ya lugha za asili za Australia
Lugha za Kijarrakan (au Kidjeragan) ni familia ndogo ya lugha nchini Australia. Katika familia hiyo kuna lugha tatu tu ambazo zilikuwa zinazungumzwa katika majimbo ya Australia Magharibi na Northern Territory: Kigadjerawang, Kikitja na Kimiriwung. Lugha hizo zote zimo hatarini mwa kutoweka.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kijarrakan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |